Wakongwe kutoka Uasin Gishu walioshiriki dimba la soka Afrika Kusini warejea nchini

  • | Citizen TV
    305 views

    Kina mama Wakongwe wa timu ya Mutei FC walioshiriki mashindano ya soka ya kimataifa nchini Afrika Kusini wamerejea nchini na kupewa makaribisho ya aina yake. Wakongwe hao hawakuficha furaha yao ya kufanya vyema katika mashindano hayo