- 138 viewsRoseline Akochi mkulima mdogo magharibi mwa Kenya anakagua zao la muhogo kwa kutumia simu ya kisasa ikiwa na App ya akili mnemba – AI, kutambua magonjwa na wadudu wa mimea mara moja. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wakulima Kenya kutumia AI kutambua magonjwa kwenye mimea
- 8 Jan 2025 - Joe Biden thinks he could have won reelection if he had stayed in the White House race, he said in an interview published Wednesday -- while conceding he was unsure if he would have served another full term.
- 8 Jan 2025 - The High Court in Nairobi has found former Police Inspector General (IG) Japhet Koome liable for remarks made on April 14, 2024, in which he ordered law enforcement officers to respond firmly and decisively to striking and picketing medics.
- » Auditor-General issues Qualified Opinion for Nairobi County, highlights financial management progress8 Jan 2025 - The Auditor-General has released a qualified opinion audit report for Nairobi County Revenue Funds for the 2023/2024 financial year, signalling significant progress in public financial management practices within the county.
- 8 Jan 2025 - Speaking during a tour of Kenyatta National Hospital (KNH) on Wednesday, the Deputy President highlighted significant progress in the program's implementation, noting that 17 million Kenyans are now registered under Taifa Care.
- 8 Jan 2025 - The Ministry of Labour and Social Protection has released Ksh.3.517 billion as payments to 1,758,735 beneficiaries enrolled in the Inua Jamii programme.
- 8 Jan 2025 - Deputy President Kithure Kindiki hosted a high-level briefing at the official residence in Karen on Wednesday to discuss ongoing tea sector reforms and explore strategies for opening new export markets.
- 8 Jan 2025 - Athletics Kenya (AK), the governing body for the track and field, marathon, road races and cross-countries sports, on Wednesday, January 8, 2025, announced a mandatory registration exercise for athletes. In a notice, AK noted that the registration system…
- 8 Jan 2025 - The accidents comes at a time when NTSA is conducting compliant checks across the country to ensure road safety.
- 8 Jan 2025 - The suspect is held at the Jomvu police station pending arraignment
- 8 Jan 2025 - The facility will provide a range of services, including dialysis and kidney transplants, aiming to reduce the need for Kenyans to seek such treatments abroad.