Wakulima Kilifi waraiwa kuanza kutumia mbinu za umwagiliaji maji mashamba badala ya kutegemea mvua

  • | Citizen TV
    219 views

    Serikali ya Kaunti ya Kilifi, kupitia Idara ya Kilimo na Mazao, imewarai wakulima kuanza kutumia mbinu za umwagiliaji maji mashamba badala ya kutegemea mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula