Wakulima wa chai walalamikia malipo duni Bomet

  • | Citizen TV
    100 views

    Wakulima wa chai wanaouza majani chai yao kwa kiwanda Cha Mogogosiek katika eneo bunge la Konoin kaunti ya Bomet wametamaushwa na malipo duni ya zao lao.