Wakulima wa Kericho na Nakuru wamsifia aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa New KCC Nixon Sigey

  • | Citizen TV
    267 views

    Zaidi ya wakulima elfu moja kutoka kaunti za Kericho na nakuru walijuimika katika Kiwanda cha maziwa cha Kabianga kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya New KCC Nixon Sigey baada ya kuhudumu Kwa miaka mitatu.wakulima walisifia utendakazi wa Sigei wakisema kuwa kustawi kwa kiwanda cha maziwa cha Kabianga ni thibitisho la kazi nzuri aliyofanya ambayo ilisababisha wakulima kupata mapato Bora. aidha wanasema kuwa Sigey ameiacha kampuni ya New KCC bila Deni lolote.