Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa maziwa Bonde la Ufa walalamikia kucheleweshwa malipo ya shilingi milioni 300

  • | Citizen TV
    505 views
    Duration: 3:06
    Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa kaskazini na kusini mwa bonde la ufa wanalalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao baada ya kuwasilisha maziwa katika kampuni ya the new KCC. Wakulima hao wanadai zaidi ya shilingi milioni mia tatu ambazo hazijalipwa kwa miezi minne sasa. Baadhi ya wakulima hao wamezamia shughuli zingine za kilimo ili kupata pesa za kujikimu