Wakulima wa miwa Mumias walipwa mkafaa 'bonus'

  • | KBC Video
    35 views

    Kampuni ya sukari ya Mumias imelipa mkafaa wa jumla ya shilingi milioni 150 kwa mamia ya wakulima katika hafla ya kihistoria iliyoongozwa na Rais William Ruto. Mkulima aliyepata malipo ya kiwango cha juu zaidi alipokea shilingi nusu milioni, huku wa kiwango cha chini akipokea shilingi elfu tano kwa kutumia mpango wa ugavi wa faida ambapo asilimia 30 itawaendea wakulima, asilimia 30 kwa mwekezaji na asilimia 40 ya malipo ya madeni. Hii ni mara ya kwanza kwa wakulima wa miwa nchini kupokea mkafaa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive