- 285 viewsDuration: 3:29Wakazi wa Sese Mpeketoni kaunti ya Lamu wamegeukia ufugaji wa nyuki kwa sababu mimea ya Mahindi na miembe imekuwa ikivamiwa na wanyama pori na kuwakosesha mazao. Aidha Wito umetolewa kwa wakulima hao kujiunga na vyama vya ushirika ili kudhibiti mfumko wa bei.