Wakulima wafurahia mvua fupi katika sehemu nyingi

  • | Citizen TV
    236 views

    Huku idara ya utabiri wa hali ya anga ikibashiri siku mbili zaidi za mvua kubwa, wakulima katika sehemu mbali mbali nchini wameanza kutayarisha mashamba yao kwa upanzi. Hata hivyo, wakulima hawa wameitaka serikali kupunguza bei ya pembejeo ili waimarsihe mapato yao.