Wakulima waitaka serikali kuondoa marufuku ya mahuruji

  • | Citizen TV
    126 views

    Wakulima na wachuuzi wa macadamia nchini wameonya dhidi ya biashara zao kufilisika ikiwa serikali haitaondoa marufuku ya uuzaji wa macadamia yaliyo na maganda kwenye masoko ya kigeni