Wakulima wametakiwa kutumia dawa za asili kwenye ukuzaji wa maembe

  • | K24 Video
    16 views

    Wakati huu taifa la Kenya linapojikakamua kurejelea kuuza maembe katika mataifa ya ulaya miaka tatu baada ya kujiondolea marufuku iliyojiwekea, wakulima wametakiwa kutumia dawa za asili wakulima wametakiwa kutumia dawa za asili kama njia ya kudumu ya kuzuia magonjwa na wadudu. Kenya ilijipiga marufuku ya kuuza maembe katika mataifa ya ulaya kati ya mwaka wa 2012 na 2014 kutokana na kero ya wadudu wa matunda yaani ruit flies na kuondoa marufuku hiyo mwaka wa 2021.