Wakulima washauriwa kupanda mazao mwafaka

  • | KBC Video
    10 views

    Wakulima katika kaunti yaKilifi wameshauriwa kujiandaa kwa kipindi kifupi cha msimu wa mvua ya masika ambayo kwa kawaida hunyesha kati ya mwezi Machi na mwezi Mei. Idara ya utabiri wa hali ya hewa imewahimiza wakulima hao kupanda mazao yanayochukua muda mfupi kukomaa na yale yanayoweza kuhimili kiangazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive