Wakulima watahadharishwa dhidi ya kuuziwa mbolea ya ruzuku kwa bei ya juu

  • | KBC Video
    45 views

    Wakulima wanaonywa dhidi ya kulaghaiwa na wafanyabiashara wanaouza mbolea ya ruzuku ya serikali kwa bei ya juu. Katibu katika wizara ya kilimo Paul Ronoh anasema serikali imepokea malalamiko na inachukua hatua madhubuti kulinda wakulima dhidi ya kunyanyaswa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive