Wakulima wataka maafisa wa DCI kupeleleza wakiritimba

  • | Citizen TV
    146 views

    Wakulima katika Kaunti ya Trans Nzoia wanaitaka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kupeleka maafisa wa polisi katika maghala ya Bodi ya Nafaka na Mazao (NCPB) ili kuwasaidia kuwakamata wakiritimba wanaodaiwa kusababisha uhaba bandia wa mbolea