Wakunga waelezeawalivyoua watoto wa wachanga kike

  • | BBC Swahili
    273 views
    Baada ya miaka thelathini kupita, kikundi cha wakunga huko kaskazini mwa India kinatoa ushuhuda wa kushtua. Wanaelezea jinsi walivyoua watoto wa kike wachanga mara kwa mara. BBC Eye inachunguza historia ya kutatanisha ya mauaji ya watoto hao wachanga vijijini India. Tahadhari: Kuna maudhui ya kuhuzunisha #bbcswahili #india #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw