Walemavu wahimiza mabadiliko katika elimu ya vyuo

  • | KBC Video
    2 views

    Baadhi ya watu walio na matatizo ya kusikia katika kaunti ya Busia wamegusia changamoto wanazopitia katika jitihada zao za kupata elimu na ajira wakisema vikwazo vya mawasiliano katika vyuo vya elimu ya juu ni pingamizi kubwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive