Walemavu wanahangaika zaidi kufuatia mafuriko

  • | Citizen TV
    130 views

    Huku mvua ikiendelea kunyesha na athari zake kushuhudiwa katika maeneo mbali mbali nchini watu wanaoishi na ulemavu wanahangaika zaidi. Na sasa wanaitaka serikali kuwakumbuka na kuweka mikakati ambayo itawalinda kutokana na mafuriko hayo