Walevi na waraibu wa dawa za kulevya, Kirinyaga wapata afueni baada ya kupewa mwanzo mpya wa maisha

  • | NTV Video
    158 views

    walevi na waraibu wa dawa za kulevya katika kaunti ya kirinyaga wamepata afueni baada ya kupewa mwanzo mpya wa maisha na kanisa la seedhope family waliowapa mbuzi za maziwa na vyombo vingine vya ukulima ili kuanzisha maisha yao upya.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya