Walimu Migori wanataka uamuzi wa mahakama kutekelezwa

  • | Citizen TV
    89 views

    Walimu wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Migori wamekubali uamuzi wa mahakama ya leba ambayo iliamuru tume ya walimu kuwapa ajira ya kudumu.