Walimu wa sekondari msingi waendelea kugoma

  • | Citizen TV
    802 views

    Masomo kwenye Shule za sekondari msingi (JSS) yametatizika Kwa wiki mzima sasa baada ya walimu Wa JSS kugoma wakilalamikia marupurupu duni. Walimu katika kaunti ya Nakuru wameeleza changamoto za kupata marupurupu ya shillingi elfu Kumi Na Saba, fedha ambazo wanasema hazitoshelezi mahitaji yao