Walimu wa sekondari msingi walalamika

  • | Citizen TV
    346 views

    Walimu wa JSS kutoka kaunti mbalimbali wameandamana na kuilaumu tume ya walimu- TSC- kwa kukosa kuheshimu uamuzi wa mahakama ulioagiza wapewe ajira ya kudumu. Walimu hao wanasema kuwa TSC imekuwa ikipuuza kilio chao.