Walimu walalamikia kuchelewa kwa mgao wa fedha huku shule zikifunguliwa kwa muhula wa pili

  • | Citizen TV
    973 views

    Shule kote nchini zimefunguliwa kwa muhula wa pili hii leo huku walimu wakilalamikia serikali kuchelewesha mgao wa pesa za shule. Kauli za walimu zikijiri huku lawama likiendelea kuhusu ada za ziada zinazotozwa wanafunzi. Na kama Mary Muoki anavyoarifu, walimu hawa wanasema, mara nyingine wanakosa mbinu za kukidhi mahitaji ya shule