Walio kwenye kambi Rwanda sasa wamekuwa watu wazima

  • | Citizen TV
    2,608 views

    Mapigano na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 nchini Rwanda bado yameacha makovu tele kwa familia ziizoathirika nchini humo. Katika juhudi za kuendeleza uwiano miaka baada ya mauaji ya halaiki, taifa hilo limetenga kambi maalum ya kushughulikia mateka waliosalia msituni Kivu Ndani ya Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo.