- 1,070 viewsKatika mji wa Port Sudan, ambao umeepuka mapigano katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, makanisa yamekuwa makazi ya muda kwa wakazi wengi wa nchi hiyo wapatao milioni 11 waliokimbia makazi yao. Katika ripoti hii, VOA imetembelea kanisa moja la aina hiyo ambapo kiongozi wa kidini, ambaye yeye mwenyewe amepoteza makazi yake anafanya awezavyo ili kusaidia bila msaada wa jumuiya ya kimataifa. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Waliopoteza makazi Sudan wapokelewa na makanisa
- 23 Dec 2024 - The head of a Canadian political party that has been keeping Prime Minister Justin Trudeau in power said on Friday he would vote in favor of a motion of no-confidence, opens new tab, effectively assuring the Liberals will be removed from power early…
- 23 Dec 2024 - The workers staged a peaceful demonstration, accusing the government of neglecting their plight and failing to honor promises to address their grievances.
- 23 Dec 2024 - A packed bus collided with a truck and burst into flames early on Saturday in Brazil, killing more than 30 people, the fire department said.
- 23 Dec 2024 - Speaking in Uasin Gishu County on Sunday when he attended a church service, Ruto explained the journey to yet another handshake, months after his previous one with his political nemesis, former Prime Minister Raila Odinga.
- » Professional bodies challenge honorary degrees awarded to MPs by Northwestern Christian University23 Dec 2024 - The award of honorary degrees for lawmakers Oscar Sudi, Didmus Barasa, and John Waluke by Northwestern Christian University has sparked an uproar from professional bodies.
- 23 Dec 2024 - Speaking at a wedding ceremony in Kusyomomo, Machakos County, Kalonzo dismissed Ruto’s calls for unity, claiming they are insincere.
- 22 Dec 2024 - Mozambique's death toll from Cyclone Chido has risen to 94, news agency AFP said on Sunday, citing the country's disaster management agency.
- 22 Dec 2024 - Speaking to congregants in Naivasha on Sunday, Gachagua said the President’s decision to postpone his planned January trip to the vote-rich region reflects his reluctance to address mounting grievances from his supporters.
- 22 Dec 2024 - Israel ordered the closure and evacuation on Sunday of one of the last hospitals still partly functioning in a besieged area on the northern edge of the Gaza Strip, forcing medics to search for a way to bring hundreds of patients and staff to safety.
- 22 Dec 2024 - Former Agriculture Cabinet Secretary (CS) and Meru Senator Mithika Linturi has criticized President William Ruto's government for allegedly marginalizing the Ameru community from key national political decisions, including state appointments, despite…