- 79,549 viewsMnamo Juni 25, 2024, damu ilimwagika katika Bunge la Kenya. Siku hiyo, maelfu ya waandamanaji walielekea bungeni ili kusitisha muswada wa fedha #FinanceBill2024 kupitishwa kuwa sheria. Njiani walikutana na mabomu ya machozi, virungu, na hata milio ya risasi. Walipofika huko, na kulivamia bunge, baadhi ya milio ya risasi hiyo ikageuka kuwa hatari zaidi Takriban watu watatu waliuawa: mwanafunzi, muuza duka, na mwalimu. Tangu wakati huo, hakuna mtu aliyeshikiliwa kuwajibika kwa vifo vyao. Sasa, #BBCAfricaEye inawafichua walisababisha damu kumwagika nje ya viwanja vya Bunge Kenya. #bbcswahili #financebill #financebill202 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Walioua vijana bungeni Kenya wafichuliwa
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- 29 Apr 2025 - In a circular, Nyakango halted issuance of bursaries to learners by devolved units
- 29 Apr 2025 - Kenyan authorities have blocked the screening of a BBC documentary exposing police officers who shot dead protestors at last year’s anti-tax demonstrations at Parliament buildings in Nairobi, the British broadcaster says.
- 29 Apr 2025 - The move comes ahead of a Trump rally planned for Tuesday night near Detroit to mark the president's first 100 days in office.
- 29 Apr 2025 - Seasoned radio host Edward Carey Kwach has died. According to family spokesperson Michael Okwiri, the established radio presenter died on Monday night while undergoing treatment for meningitis.
- 29 Apr 2025 - The expulsions last week from the southern state of Louisiana come as US President Donald Trump takes a hard-line approach to migration.
- 29 Apr 2025 - The notice comes after a previous ban was recently lifted.
- 29 Apr 2025 - Gachagua also slammed the government over the brutal killing of Gen Z protestors in June last year.
- 29 Apr 2025 - 'Destroyed a whole family': Kyiv teens mourn friend killed in Russian strike
- 29 Apr 2025 - Kajiado County has launched a community sensitisation campaign aimed at eradicating Ipomoea, an invasive weed that has choked grazing fields across the region. According to Michael Semera, the County Executive Committee Member (CECM) for Environment,…
- 29 Apr 2025 - Mai Mahiu flood victims wait for Ruto's promise, 12 months later