"Wamaasai wanapenda sana watoto wa kike wa kabila letu"

  • | BBC Swahili
    195 views
    Kutana na kabila dogo la wawindaji kutoka kaskazini mwa Tanzania la waakie ambalo limeamua kupiga marufuku wanawake wao kuolewa na wanaume ambao ni tofauti na jamii ya kabila lao. Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa alifika mkoani Manyara kujua chanzo haswa cha kupiga marufuku hii ya kuolewa nje ya kabila lao. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #asili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw