Wameandamana kulalamikia usalama Samburu West

  • | Citizen TV
    348 views

    Wakaazi wa eneo la Loborngare, Samburu magharibi wamefanya maandamano kulalamikia kuzidi kwa visa vya utovu wa usalama katika siku za punde