Wamiliki wa baa, mikahawa na biashara Mlolongo waeleze masaibu waliyopitia mikononi mwa maandamanoji

  • | NTV Video
    1,707 views

    Wafanyabiashara kaunti ya Machakos wanakadiria hasara baada ya waandamanaji kuvamia biashara zao wakati wa maandamano ya jumanne. Wamiliki wa baa, Migahawa na Biashara zingine eneo la Mlolongo wameelezea masaibu waliyopitia mikononi mwa wahuni kwenye maandamano hayo. Hata hivyo, kamanda wa polisi wa Machakos Patrick Lobolia amekashifu uhalifu huo na kusema kwamba kuna wahuni waliosafirishwa kutoka sehemu zingine na kuletwa katika kaunti hiyo kutekeleza unyama. Amawataka wakazi kuwa makini na kufanya maandamano ya amani kwa kuzingatia sheria za kenya. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya