Wana-harakati Malindi washinikiza mazingira safi

  • | KBC Video
    38 views

    Wahifadhi mazingira katika mji wa Malindi kaunti ya Kilifi wanahimiza utalii endelevu kufanikisha usafi wa mazingira mjini Malindi. Wahifadhi hao chini ya mwavuli wa chama cha Progress Welfare huko Malindi wanawataka wadau kukumbatia udhibiti na uhuhishaji taka ili kuwe na mazingira safi kwa wakazi.Mwenyekiti wa kundi linalopigania uchumi unaotokana na raslimali za baharani katika mji wa Malindi Effue Opiyo ambalo limekuwa likisafisha mji huo wa kitalii tangu mwaka-2019 alisema wamekuwa wakihamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kudhibiti utupaji taka. Wakazi wamehimizwa kutotupa taka za plastiki kiholela wakisema ni hatari kwa viumbe wa majini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive