Wanachama wa muungano wa jua Kali kaunti ya Kilifi walalamikia kutengwa na serikali

  • | Citizen TV
    265 views

    Wanachama wa Muungano wa jua Kali kaunti ya kilifi sasa wanalalamikia kutengwa na serikali ya kitaifa na ile ya kaunti katika kuendeleza shughuli zao.