Wanachama wa shamba la Embolioi waelekea mahakamani

  • | Citizen TV
    204 views

    Wanachama wa shamba la Embolioi Katika eneo la Isinya kaunti ya Kajiado wameelekea mahakamani wakidai kuwa ekari 225 za shamba lao zimenyakuliwa