Wanafunzi 150 wa Matunda SHS walipata alama za kujiunga na chuo kikuu

  • | NTV Video
    66 views

    Katika shule ya upili ya Matunda S.A kaunti ndogo ya Likuyani zaidi ya wanafunzi 150 walipata alama ya kujiunga na chuo kikuu huku wazazi, walimu na wanafunzi wakisherehekea matokeo bora shule hiyo na kutwa ilipata alama ya 6.2 kutoka 6.0 mwaka jana licha na wanafunzi kusomea katika hali ya changamoto.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya