Wanafunzi kadhaa wa Chuo cha Ubaharia walijeruhiwa

  • | Citizen TV
    719 views

    Wanafuzi wa taasisi ya mafunzo ya ubaharia waliojeruhiwa hapo jana kwenye makabiliano na polisi katika kaunti ya Mombasa ,sasa wanalilia haki wakidai hawakuvunja sheria kwa kususia masomo