Wanafunzi kutoka kaunti ya Turkana wapata mafunzo ya mchezo wa 'Shoto Kan' karate

  • | Citizen TV
    289 views

    Kama njia mojawepo ya kukuza talanta miongoni mwa wanafunzi , watoto wenye umri WA kati ya miaka tisa na Kumi na miwili katika kaunti ya Turkana wanapata mafunzo ya mchezo wa shotokan Karate yenye asili ya KIJAPANI. Wazazi wa kaunti hiyo wameraiwa kuwaruhusu wana wao kupata mafunzo yanayoweza kukuza talanta kwenye spoti ili waweze kutumia vipaji vyao kujitafutia riziki baadaye.