Wanafunzi kutoka vyuo kadhaa wawataka Rais na Naibu wake wawafanyie wakenya kazi badala ya siasa

  • | NTV Video
    204 views

    Wanafunzi kutoka vyuo kadhaa humu nchini wamewataka Rais na Naibu wake kuwafanyia wakenya kazi na kusitisha malumbano kati yao kwa ajili ya wakenya. Wanasema iwapo wawili hao wawawezi kufanya kazi kwa pamoja wanastahili kuondoka wote uongozini ili wakenya wapate uongozi mpya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya