Wanafunzi wa chuo cha ubaharia waandamana

  • | KBC Video
    132 views

    Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya ubaharia cha Bandari waliandamano tena siku mbili baada ya waziri wa uchimbaji madini na uchumi wa baharini Hassan Joho kuahidi kutatua malalamishi yao. Wanafunzi hao wanalalamikia kiwango cha juu cha karo, usimamizi duni, ukosefu wa muda wa baharini na ucheleweshaji wa utoaji wa hati ya utambulisho wa ubaharia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive