Wanafunzi wa chuo kikuu cha Machakos waandamana kifo cha mwenzao

  • | NTV Video
    517 views

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Machakos walijitokeza barabarani mjini Machakos hapo jana wakidhihirisha huzuni yao baada ya mwanafunzi mwenzao Abraham Kafweli, kufariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Machakos ya ngazi ya tano.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya