Wanafunzi wa ECDE, msingi na JSS washiriki katika tamasha ya uigizaji Taita Taveta

  • | Citizen TV
    76 views

    Mashindano ya Tamasha ya Uigizaji na Filamu ya shule za msingi Kanda ya Pwani yameng'oa nanga hii leo katika Shule ya msingi ya Hola, Kaunti ya Tana River. Tamasha hii ikishirikisha zaidi ya shule 30 za umma na binafsi katika ngazi za Msingi, ECDE, na JSS. Mashindano haya ni maandalizi ya kuchagua walio bora watakaowakilisha ukanda wa Pwani katika Mashindano ya Kitaifa ya Uigizaji yatakayofanyika mwezi Aprili mjini Nakuru.