Wanafunzi wa kike kaunti ya Migori wahamasishwa jinsi ya kujilinda

  • | Citizen TV
    150 views

    Walimu wako katika mstari wa mbele kuongoza mpango wa Kuzuia Ukatili wa Kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana Huku Watoto LAKI NNE Wakinufaika na Mpango Huu wa Hadi mwaka wa 2028 katika kaunti Migori...Hillary Okeyo amenadaa taarifa hiyo kwa kina.