Wanafunzi wa shule ya upili ya Katilu Boys kaunti ya Turkana hawajui hatma yao

  • | Citizen TV
    292 views

    Siku chache tu baada ya waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba kutangaza matokeo ya mtihani ya kitaifa KCSE , viongozi pamoja na wakazi wa Turkana wamejitokeza kulalamikia baraza la mtihani nchini KNEC,Kwa kuzuilia matokeo ya wanafunzi wa shule ya ya upili ya Katilu Boys iliyoko Turkana kusini. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,wanafunzi wote wa shule hiyo wamepata alama ya W.