Wanafunzi wa visiwa tano ziwani Victoria warejeshwa shuleni

  • | Citizen TV
    330 views

    Washikadau wa elimu katika visiwa vitano vya ziwa Viktoria wameendeleza shughuli ya kuhakikisha  wanafunzi wote wasichana kutoka visiwa hivyo wamerejea shuleni.