Wanafunzi wakautana kubadilishana ujuzi katika kongamano la sayansi kuonyesha ubunifu

  • | Citizen TV
    109 views

    Wanafunzi kutoka shule za sekondari zaidi ya 20,vyuo anuwai na vyuo vikuu walikutana jana katika chuo kikuu cha Bomet kwenye kongamano la kuwawezesha kuonyesha ujuzi na ubunifu wao wa kisayansi.