Wanafunzi, walimu na wazazi washeherekea matokeo ya mtihani wa KCSE

  • | K24 Video
    811 views

    Huku wanafunzi walimu na wazazi wakisheherekea matokeo ya mtihani wa KCSE ya mwaka wa 2024 jijini Nairobi, hofu imetanda katika shule gwiji ya wasichana ya Pangani kuhusu matokeo yao ambayo yanakisiwa kutopatikana katika tovuti ya mtihani ya KNEC.