Wanafunzi wanaojiunga mwaka wa kwanza waduwaa

  • | Citizen TV
    272 views

    Huku wanafunzi wa mwaka wa kwanza wakiendelea kuripoti kwenye vyuo vikuu, Ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wengi umeendelea kuibua kitendawili. Baadhi wakikosa ufadhili licha ya kuwasilisha maombi kuwa walitoka familia zisizojiweza kifedha.