Wanafunzi warushiwa vitoza machozi Nakuru

  • | Citizen TV
    1,866 views

    Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Butere, ambao walitarajiwa kushiriki mashindano ya kitaifa ya michezo ya kuigiza jijini Nakuru, wamejiondoa kwenye mashindano hayo kwa madai ya unyanyasaji na kudhulumiwa