Wanafunzi watatu wafariki kwenye ajali ya barabara eneo la Nyakach

  • | Citizen TV
    1,163 views

    watu wanne wakiwemo wanafunzi watatu wamefariki kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Kibuon lililoko katika barabara ya Sondu kuelekea Katitohuko Nyakach, kaunti ya kisumu. ajali hiyo ilihusisha matatu na lori. miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi waliokuwa wakielekea nyumbani baada ya kufunga shule. tunaungana naye laura otieno kwa mengi zaidi.