Wanafunzi watatu wamefariki kwenye ajali

  • | Citizen TV
    1,997 views

    Wanafunzi watatu wamefariki papo hapo huku mmoja akipokea matibabu katika hospitali ya rufaa ya Kerugoya baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo wa kasi karibu na eneo la Kimunye Kaunti ya Kirinyaga