Wanafunzi Wengi wanakosa kusoma kutokana na upungufu wa vitabu

  • | NTV Video
    58 views

    Wizara ya Elimu imebainisha kuwa kuna upungufu wa usomaji wa vitabu haswa kwa wanafunzi na badala yake wengi wao wanatumia MitaNdao ambayo wengi hawapati masomo inavyostahili. wizara ya elimu inasema ni changamoto kubwa, na kuzitaka shule, hususan zile zinazofuata mtaala wa CBC, kuhamasisha usomaji wa vitabu zaidi

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya