Wanafunzi zaidi ya 800 warejeshwa nyumbani Eastleigh

  • | Citizen TV
    544 views

    Mvua kubwa inayoendelea nchini imesababisha mafuriko katika shule ya msingi ya ainsworth eneo la Eastleigh hapa jijini Nairobi na kulazimu shule hio kufungwa