Wanahabari Mombasa waadhimisha kwa kupanda miti

  • | Citizen TV
    139 views

    Shehere za kuadhimisha siku ya radio duniani mwaka huu zinafanyika katika kaunti ya Mombasa. Wanahabari wamekongamana katika Taasisi ya mafunzo ya Kenya Coast National Polytechnic kwa maadhimisho hayo